Hizo pombe huwa mnaacha sasa? Kama yeye anakuvumilia harufu ya pombe na yeye mvumilie.HAMSHAURIKI MBONA TUKIJA NA HARUFU YA POMBE MNALALAMIKA.HAYO MANYWELE YENU NI SHIDA NA UKIWA NA MTOTO MDOGO YATAMLETEA SHIDA YA KUPUMUA NA ANAWEZA HATA KUPATA PUMU.MADAWA MAKALI
Na wewe natural nijilipue? Maana ndio ugonjwa wangu.Afadhali
Team natural wahini jimbo lipo wazi hili
DUH ! NIMENYOOSHA MIKONOHizo pombe huwa mnaacha sasa? Kama yeye anakuvumilia harufu ya pombe na yeye mvumilie.
halafu mbona weaving hazina harufu, may be kama anakaa nazo muda mrefu na ukiona mdada ananuka nywele jua ni mchafu.
Wapo wanaopenda mkuu,una uthibitisho gani kuwa yanaleta madhara kwa watoto?ALIYE KUAMBIA HUWA TUNAPENDA HAYO MAKATANI NI NANI.? HAYAFAI KWA AFYA NA UKIWA NA MTOTO MDOGO NDIO MBAYA KABISA
Team natural Ndio lkn nafasi imejaa jaribu tena baadaeNa wewe natural nijilipue? Maana ndio ugonjwa wangu.
Heeeeee we nae mchochezi unafurahia mwenzio kuachika ovyooooAchana nae, cha kufia nini Kwani umekufa na kuoza kwake??? kama ni vipi Block mawasiliano yake yote asikutafute, kama alikuwa anakupima upepo atarudi mwenyewe analia
HALAFU SHIDA HAPA JF WAPO WACHACHE WASOME.YALE MANYWELE NI YA NINI? ILI WAONEKANE KAMA WAZUNGU AU?Mkuu hata na mimi nashindwa kuwaelewa hawa Team mawigi sijui ni kwamba hawajiamini we komaa na ukweli tu kwani utakuwa huru. #no team fake.
Badae tena! Unajua maana ya kujilipua wewe?Team natural Ndio lkn nafasi imejaa jaribu tena baadae
Ugly uglyHALAFU SHIDA HAPA JF WAPO WACHACHE WASOME.YALE MANYWELE NI YA NINI? ILI WAONEKANE KAMA WAZUNGU AU?
View attachment 613981
Wamependeza sana.HALAFU SHIDA HAPA JF WAPO WACHACHE WASOME.YALE MANYWELE NI YA NINI? ILI WAONEKANE KAMA WAZUNGU AU?
View attachment 613981