Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Mimi nilishawahi kumuambia umebarikiwa nywele alaf nywele zako nzuri, akanisonya Af akasema asante!
 
Kimtokacho mtu ndicho...... Kiukweli hupendi ndo maana likakutoka sio bahati mbaya ila umesema pasi kujiandaa!!! Lakinii ujumbe ameupata kama ako na upendo wa dhati atafanya venye Unapenda awe
Kimtokacho mtu ndicho...... Kiukweli hupendi ndo maana likakutoka sio bahati mbaya ila umesema pasi kujiandaa!!! Lakinii ujumbe ameupata kama ako na upendo wa dhati atafanya venye Unapenda awe
Aisee nimekupenda bure,wewe ni muelewa na umelenga hisia za ubongo wangu jinsi na mpaka nilipojikuta nimefikisha ujumbe bila kufikiri ndo maana nasema niliropoka.
 
Wanaume jamani ukute hata hela ya saloon hutoi! Full kujishaua tu kumuuliza Mawigi yake[emoji35] [emoji35]

Unamtunza? Je unacare? Au kiherehere tu cha maswali, only kugongea free P?!!!
AISEE KUMBE NINA MKE BOMBA SANA
 
Wanaume jamani ukute hata hela ya saloon hutoi! Full kujishaua tu kumuuliza Mawigi yake[emoji35] [emoji35]

Unamtunza? Je unacare? Au kiherehere tu cha maswali, only kugongea free P?!!!
Ningekuwa simtunzi hayo mapesa anayochezea kununua hayo manywele angetoa wapi?pesa nyingi alafu mnanunua mauchafu,shenzi type mnanzani tunaokota hizi pesa.
 
hiyo sababu tu alishapanga kukuacha sababu hukuwa na vigezo vyake..

hakunaga mwanamke anaemkimbia mwanaume wa ndoto yake hata kama atapigwa kofi atavumilia tu..

nakumbuka enzi nipo a level kaka yangu alikuwa anasoma udsm enzi hizo hostel zile za lufungira mwenge... kuna siku nilienda hostel kwao daniel kijo yule wa eatv alikuwa anampiga galfriend wake demu analia huku anasema hata uniue mimi nakupenda tu... watu wanaamlia.. mdada anajirudisha tu apigwe kofi lingine...

daniel akawasha gari yake na kuondoka.. hapo anasoma udsm na bado dogo tu ila ana gari chuoni.. washkaji wakawa wanasema kwenye maisha mazuri future ya uhakika mwanamke haondoki kiurahisi...

sasa wewe wigi tu akuache...

yaani mengi amwambie k lyn kuhusu wigi na k lyn avunje uchumba kweli
 
kama ulimkuta nazo basi mwache aendelee tu ,ana ulishachelewa
 
Ningekuwa simtunzi hayo mapesa anayochezea kununua hayo manywele angetoa wapi?pesa nyingi alafu mnanunua mauchafu,shenzi type mnanzani tunaokota hizi pesa.
Weee shut up!..mwanaume anayetoa pesa huwa haulizi maswali ya kijinga eti wigi blah blah!

Mara paap ushakuja kujiliza JF mwanaume huyo!??! WTF[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
UNGESEMA TU BABY NAPENDA NYWELE ZAKO ORIGINAL KUZIGUSA GUSA NIKUCHOKOZE YANI...UNAZUGA UNAKUWA ROMANTIC TARATIBU UNAMPA UJASIRI HAYO MAWIGI SIJUI AYAONE HAYANA ISHU...ULIROPOKA..MI NAWEZA MWAMBIA ULICHOSEMA IN A WAU HATAKASIRIKIA.....PIA HAJAJIONGEZA YUKO EMOTIONAL MAANA TUNAISHI NAO KWA AKILI...UWE MUONGO MUPNGO SIO UNAOKOMAA NA UUKWELI ALIYEKWAMBIA WANAPENDA UKWELI HAWA NANI,...W DANGANYA TU ...KAMA KANUNA BASI NAWE ANZA KUFANY AYAKP AU MBEMBELEZE TU AMUA MOJA
 
Najiuliza sana mwisho wa picha sipati jibu,kiukweli niliropoka tu bahatimbaya.
Huw
Kimbia haraka sana ukaombe msamaha. Chokoleti, ua, pipi, na zawadi nono vinahusika.

Wewe unajua ni kiasi gani cha muda, hela, na msongo wa mawazo wanaoupata wakina mama wanapojiandaa kuja kukutana na wewe? Halafu unatoa kejeli kama hiyo.

Adhabu yako:
Muwekee bili ya mwaka mzima ya saluni. Usirudie tena.

Babu.
 
shukuru Mungu kumnunulia mtu nywele wakati zake anazo hilo ni janga ujue.
 
shukuru Mungu kumnunulia mtu nywele wakati zake anazo hilo ni janga ujue.
Kwa sababu wewe ni mwanaume.

Nijibu hili, Wanawake wawili wenye haiba (sura) sawa:

☆ Mmoja ana nywele za singa zilizoanguka mpaka makalioni huko nyuma.

☆ Mwengine ana kipilipili kisichopita shanuo.

Wanaume 100 (vijana rijali wa kibongo) wanaambiwa wachague ni yupi kati ya wale warembo wawili watataka kuwa nae katika jioni ya matumbuzi. Unafikiri ni wangapi wangemchagua:

1. Nywele ndefu?
2. Kipilipili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…