Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Kwanini arudi analia? Wanaume muda mwingine mnajionaga mungu watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji2][emoji3] hamna sio hivyo, kama alikuwa anapewa penzi la dhati atarudi tu ila kama alikuwa anatafuta sababu ya kusepa Hatarudi...

Sitaki nataka kwani si kawaida yenu mnadhani hatujui?
 
dawa yao ni kuwaambia dada nimependa nyweke zako/dada una nywele nzuri.. kisha subiri jibu.
Hahaha wanafurahi utafikiri za kwao...kati ya wanawake nao waona wapuuzi na wendawazimu ni hawa wanaojitwisha mizigo vichwani
 
kilicho nikera zaidi anashonea kabisa kichwani aisee kuoshwa zenyewe hazioshwi ebwana eeh uvumilivu ulinishinda nikamchania sa ndo kamaindi eti..

Mkuu..
Kunakitu kinaitwa "kuheshimu mawazo,mtizamo na self privacy ya mtu"
Kama hupendi kitu hilo ni tatizo lako sio lake.hivyo liseme kwa busara hasa ukiwa una deal na jinsia ya kike..
Nadhani unajua wanawake wanaongozwa na katiba iitwayo "Feelings and Emotions"

Muombe radhi kama mwanaume as long umeliona kosa(kuropoka)..
 
Unamwambia mwenzako nywele za bandia huzipendi na mwenzako anachogo kubwa na hana natural hair...mbaya zaidi umelopoka
 
Wanaume jamani ukute hata hela ya saloon hutoi! Full kujishaua tu kumuuliza Mawigi yake[emoji35] [emoji35]

Unamtunza? Je unacare? Au kiherehere tu cha maswali, only kugongea free P?!!!
Hujali nini kwani we baba ake?embu acheni kujiendekeza...k.zenyewe siku hizi kibao nani wa kujali mwanamke mwenye mawigi uache mtoto natural ukurupuke tu unagharamia mtu akanunue mawigi ya bluu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umefanya vizuri kumwambia, wewe c mnafki hata Mimi sizipendi.
 
[HASHTAG]#TeamNyweleZaMarehemu[/HASHTAG] oyeeee!
 
Siku nyingine kuwa makini, mwanamke usimwambie ukweli just kumzumguka, baadae yeye mwwenye ataelewa nini unamaanisha

Hata baadhi ya "me" pia wako hivyo ukimwambia ukweli shida!Uongo ndiyo unapendwa siku hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…