Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Sema kweli uongo upo rohoni kila kitu lazima nidanganye kwa upande wawanawake, lakini wanifirahiaga ni hatari, ndo nikajua kumbe hawa bila alternative ways, is impossibleHata baadhi ya "me" pia wako hivyo ukimwambia ukweli shida!Uongo ndiyo unapendwa siku hizi!

Ulifanya vizuri. Utampendaje mtu wa bandia wakati wale natural wapo na uzuri wao?kilicho nikera zaidi anashonea kabisa kichwani aisee kuoshwa zenyewe hazioshwi ebwana eeh uvumilivu ulinishinda nikamchania sa ndo kamaindi eti..
Eti hampendagi nani mjinga hapo sasa, ningekuwa mimi nakutia makofi kabisa uondoke vyema..! Mnyuuuxuuuh...Tatizo la kuropoka hilo, siku nyingine kuwa makini, hatupendagi ujinga sie
Sidhani kama Biblia ilimaanisha hiki unachotafsiri hapa, kiburi kwenye mahusiano hakiwezi kikajengewa ukuta wa kuepuka kuelezana ukweli, muoaji hapendi plastic/sisal hairs wewe unasema tumeagizwa tukae nao kwa akili...mimi nafikiri kuwa ameelewa tabia halisi ya huyo binti kuwa si mtu anayekubali criticism na ushauri unaolenga yale yanayomfurahisha moyo wake hata kama mwenza wake hayataki.pole..!! comrade usirudie tena tumeambiwa tuish nao kwa akili
Aahahahahahahahahahhaah unaniuaAfadhali
Team natural wahini jimbo lipo wazi hili
Sina mbavu uku unaniua mno[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kilicho nikera zaidi anashonea kabisa kichwani aisee kuoshwa zenyewe hazioshwi ebwana eeh uvumilivu ulinishinda nikamchania sa ndo kamaindi eti..
Fursa hiyo mrembo mi nshawahiwa maana team natural tunatafutwa kwa tochi nowdaysAahahahahahahahahahhaah unaniua
Hongera shogwa komaa Sasa nisimuibe uyoo akij kwangu aludi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fursa hiyo mrembo mi nshawahiwa maana team natural tunatafutwa kwa tochi nowdays
Nakomaa kinatural naturalHongera shogwa komaa Sasa nisimuibe uyoo akij kwangu aludi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuja[emoji108][emoji108][emoji125][emoji125][emoji125]karibu huku ndani Pm