Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Hata baadhi ya "me" pia wako hivyo ukimwambia ukweli shida!Uongo ndiyo unapendwa siku hizi!
Sema kweli uongo upo rohoni kila kitu lazima nidanganye kwa upande wawanawake, lakini wanifirahiaga ni hatari, ndo nikajua kumbe hawa bila alternative ways, is impossible
 
kilicho nikera zaidi anashonea kabisa kichwani aisee kuoshwa zenyewe hazioshwi ebwana eeh uvumilivu ulinishinda nikamchania sa ndo kamaindi eti..
Ulifanya vizuri. Utampendaje mtu wa bandia wakati wale natural wapo na uzuri wao?
 
Tatizo la kuropoka hilo, siku nyingine kuwa makini, hatupendagi ujinga sie
Eti hampendagi nani mjinga hapo sasa, ningekuwa mimi nakutia makofi kabisa uondoke vyema..! Mnyuuuxuuuh...
 
pole..!! comrade usirudie tena tumeambiwa tuish nao kwa akili
Sidhani kama Biblia ilimaanisha hiki unachotafsiri hapa, kiburi kwenye mahusiano hakiwezi kikajengewa ukuta wa kuepuka kuelezana ukweli, muoaji hapendi plastic/sisal hairs wewe unasema tumeagizwa tukae nao kwa akili...mimi nafikiri kuwa ameelewa tabia halisi ya huyo binti kuwa si mtu anayekubali criticism na ushauri unaolenga yale yanayomfurahisha moyo wake hata kama mwenza wake hayataki.
 
Labda tatizo n jinsi ulivyowasilisha ujumbe wako...kama kweli unampenda mtafute mzungumze vzuri mjenge mahusiano bora...utaacha wangapi!
 
Yes nywele za bandia bhana mi kero mno ata mm situmii navaaje nywele za wahindi walokufa
 
kilicho nikera zaidi anashonea kabisa kichwani aisee kuoshwa zenyewe hazioshwi ebwana eeh uvumilivu ulinishinda nikamchania sa ndo kamaindi eti..
Sina mbavu uku unaniua mno[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namapenzi yake kwako yalikua ya bandia pia shukuru mungu amekuepusha nae mapema
 
Fursa hiyo mrembo mi nshawahiwa maana team natural tunatafutwa kwa tochi nowdays
Hongera shogwa komaa Sasa nisimuibe uyoo akij kwangu aludi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeshasema ukweli.
Atatafakari na kachukua hatua.
We mbembeleze tu ila ukweli ubaki hapendi hizo nywele
 
Back
Top Bottom