Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

kama bwai na iwe bwai ,kiswala chenyewe kdgo anatishia uhai wa penz kaza usitume ata sms
 
Kwa sababu wewe ni mwanaume.

Nijibu hili, Wanawake wawili wenye haiba (sura) sawa:

☆ Mmoja ana nywele za singa zilizoanguka mpaka makalioni huko nyuma.


☆ Mwengine ana kipilipili kisichopita shanuo.

Wanaume 100 (vijana rijali wa kibongo) wanaambiwa wachague ni yupi kati ya wale warembo wawili watataka kuwa nae katika jioni ya matumbuzi. Unafikiri ni wangapi wangemchagua:

1. Nywele ndefu? =wale wa show off
2. Kipilipili?
=Ndoa
 
Kiukweli hata mie miaka iliyopita nilishawahi kumpiga mtu kibuti kisa hizi mambo alikua ananisimanga kila nikipaka lipstik au hata nikivaa wigi,nikajionea tabu mie niwe natural nimekua msitu fyuuu,nikawaza mbali likija kunioa si litanambia kabisa nipake baby care na kuvaa skert za marinda!! akuu kila mtu apambane na hali yake mwanamke urembo bwanaaaaa.
 
Back
Top Bottom