mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18..
Kwa umri huo bado hana uzoefu wa kumiliki mabwana kadhaa.kila akiomba ANAAMBIWA kwa sasa sipo tayari
mapenzi Ni sex?Hiki ni kisa cha kweli jamaa ana pisi yake Kali mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18 mchizi wa miaka 25+ ila hajawahi pewa unyevu ni MIEZI 6 anajiuliza je ni kweli apo Kuna mapenzi au maigizo anafanyiwa kila akiomba ANAAMBIWA kwa sasa sipo tayari
vijana wa hovyo kweli kweli! Kwani lazima ukiwa na mpenzi ukionje? Yani miezi 6 analalamika? Na sisi ambao tangu tuje hapa duniani hatujawahi hata kuonja mate ya msichana tusemeje? Huyo aache upuuzi maana msichana ni wake sio lazima afanye nae ngono!Hiki ni kisa cha kweli jamaa ana pisi yake Kali mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18 mchizi wa miaka 25+ ila hajawahi pewa unyevu ni MIEZI 6 anajiuliza je ni kweli apo Kuna mapenzi au maigizo anafanyiwa kila akiomba ANAAMBIWA kwa sasa sipo tayari
Treatment yake kwako ikoje kwa kipindi chote iko anachokunyima? Tuanzie hapa kwanzaHiki ni kisa cha kweli jamaa ana pisi yake Kali mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18 mchizi wa miaka 25+ ila hajawahi pewa unyevu ni MIEZI 6 anajiuliza je ni kweli hapo kuna mapenzi au maigizo anafanyiwa kila akiomba ANAAMBIWA kwa sasa sipo tayari
πππKm si zipo nyingi au???
Unatuchosha, endelea kuchoma mahindi hapoJikite kwenye mada wote tunaingilia VPN umu