Mahusiano yana miezi sita hajawahi kuionja

Mahusiano yana miezi sita hajawahi kuionja

Hiki ni kisa cha kweli jamaa ana pisi yake Kali mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18 mchizi wa miaka 25+ ila hajawahi pewa unyevu ni MIEZI 6 anajiuliza je ni kweli hapo kuna mapenzi au maigizo anafanyiwa kila akiomba ANAAMBIWA kwa sasa sipo tayari
Kama ni bikra sawa unaweza kuvumilia ila Kama sio bikra hapo unapigwa au hajavutiwa na wewe solution Kama hataki kukupa na wewe usimgharamie
 
Back
Top Bottom