Kwanza; Uyo demu ni malaya (sorry kwa kutumia kauli mbaya kidogo) kwa maana haridhiki na mwanaume mmoja na ni mtu wa materials sana (kupewa nyama n.k). Utaporudiana nae kubaliana na hali ya kuunga tela.
Pili; Kuhusu hiyo NB yako, huwa wanasema husifuatilie simu ya mpenzi wako ila kwangu ni tofauti. Huwa nafuatilia kila napopata nafasi sababu kuu nilikoswa koswa kuambukizwa UKIMWI hivi hivi bila kua mpekuzi wa simu yake. Kamwe sitoacha kufatilia simu ya mpenzi wangu hasa akibadilika tabia na ni mtu wa kuachana pindi napomfuma amenicheat,sinaga second chance kama ufanyavyo wewe.