Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Tafuta pesa mzee babaMahusiano mengi yamekuwa ndio chanzo, cha kuwafanya wanaume wengi kuendelea kuwa masikini.
Wanaume wanakuwa wanaingia gharama kubwa, ili kuweza kumridhisha mwanamke, iwe kumjengea nyumba, kumnunulia usafiri mkali, au kuhonga chochote kile, ili mradi aweze kukubalika kwa mwanamke.
Mara kutembelea kwenye viwanja vikali, na kupukutisha zaidi ya milioni kwa siku n.k; huku akiwa hana umiliki wa kiwanda chochote.
Na pale mwanaume anapoishiwa hela; anabaki kukimbiwa na yule mwanamke aliyemwamini atakuwa naye kwa mazingira yote.
Ndio maana wanaume wanao-ona mbali, hawatafuti pisi kali, wanatafuta wale wa kawaida ili kuzuia kupukutisha uchumi.
Kila aina ya pisi utagegeda
NB: "Suuza rungu sepa" ili usitumie pesa nyingi. Kadiri unavyorefusha mahusiano yasiyo na tija na vizinga ndo vinakuwa vingi. Hizo pisi kali zitreat kama malaya ni mwendo wa HIT AND RUN