Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Ukianza kuambiwa mtu yuko busy, hakuna aliye busy kiasi cha kusahau ubavu wake. Hata awe safarini kabla ya kulala atatafuta muda wa kukujulia hali. Mwenza akikosa muda kabisa wa mawasilianao mmh kuna alikoanza.
Sasa unabahatika kukutana na huyo mtu watatu katika mapenzi yenu. Umkute amekuzidi kila idara. Basi ni kulibariki tu penzi lao maana unaona mpenzi wako pale labda aachwe lakini yeye kuachia ngazi haitawezekana.