jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hhahhahahhaha, sasa tufanyeje? naona kama hawanioni nimesimama hapa kwa ofisi yanguKupambana kuko kwa aina nyingi, hata Mandela kupambana kwake ilikuwa ni kukataa "kuachiliwa" kama kuachiliwa kwake kulikuwa na sharti kwamba akitoka jela asijihusishe na mapambano dhidi ya Makaburu. Kuna watu wanadhani mapambano ni lazima tuingie barabarani tukiwa na mabango. Ni kweli lakini kwa sasa haijafikia kiwango cha kwenda barabarani lakini ikibidi tutakwenda.
Sky Eclat katoa hoja ya msingi sana, hapo ulipo simama kama ulivyo uwezavyo. Tukisema tuingie barabarani siye tulioko Iringa wenzetu wa Dar watasema kuwa tunawategea!!