Mahusiano yetu bila Maxence Mello hayatadumu!

hhahhahahhaha, sasa tufanyeje? naona kama hawanioni nimesimama hapa kwa ofisi yangu
 
hhahhahahhaha, sasa tufanyeje? naona kama hawanioni nimesimama hapa kwa ofisi yangu
Malcom X na Martin Luther King Jr hawakuanza kuwaambia watu waingie barabarani, bali kwanza walieleza ni kwa nini wanapinga mfumo uliopo. Nchi hii tatizo si Magufuli pekee bali na mfumo unaombeba awe kama alivyo, yaani katiba imempa Rais (Siyo Magufuli) mamlaka na madaraka yasiyohojika popote pale. Kuupinga mfumo ni mchakato na siyo tukio.
 
mimi nko nae sambamba aisee, haswaaa na anatakiwa aendelee kuwa strong hivyo hivyo
 
Hapo sasa. Binafsi sioni hata hizo tags zinasaidia nini

Tags zina-raise awareness ili pande zingine duniani waelewe kinaendelea nini na pengine kuingilia kati. Ila nadhani ingefanyika kwenye mitandao kama Twitter, Facebook, Insta ingeleta maana zaidi kwa sababu ni mitandao ya kidunia.

Binafsi sipendezwi tu na hizi habari za kuwa jamaa anapitia anayopitia kwa ajili yetu. Wengi wanasahau kuwa JF ni biashara ambayo mfanyabiashara yeyote makini angeilinda kwa nguvu zote.
 
Already free

Cc Maxence Melo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…