kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini humu ndani.
Mimi ninashangaa sana wanaume wanakesha kulialia kisa kuachwa, unaanzaje kulia baada ya kuachwa na mwanamke.
Amini usiamini, mwanaume hana cha kupoteza kwenye mahusiano kama mwanamke, ukiachwa usisumbuke fanya yako ataenda kuzurura weeee mwisho atarudi tu.
Kwanza akikuacha ndio vizuri, kajipotezea muda mwenyewe, kajichezea mwenyewe, kajidhalilisha mwenyewe weeee wasiwasi wa nini.?
NB: Muache aende atarudi tu