Mahusiano yoyote yaliyovunjika mwanaume atabaki kuwa ndio mshindi

Mahusiano yoyote yaliyovunjika mwanaume atabaki kuwa ndio mshindi

Hivi unaanzaje kuumia kuachwa na mwanamke omba omba Hana Cha maana tofaut na K yake,acha asepe Hana msaada wowote
 
Mkuu kinachotufanya tulie sio mwanamke,,
Wanawake wapo wengi mkuu..
Tatizo nitapata wapi mwenye uwezo kama yule?
--- Anajuwa kuongea na microphone vizuri sana na kutuma salamu kwa ndugu na jamaa.
-- Anajuwa kucheza na jukwaa .
-- Sauti yake ya kushangilia ni hatari tupu..
-- Unapokaribia safari yako hukupokea kwa nderemo na vifijo..
-- Waoo., baby waoo,,

Sio kila mwanamke ana sifa hizo..

Maumivu ni pale unapoona raha zile atapewa mwingine..
Kumbee
 
Back
Top Bottom