kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
TrueTatizo sio kuachwa kinachoumiza ni sababu za kuachwa..... Hata hivyo wanawake huwa wanawakumbuka Sana wenzi wao wa zamani pale wanapokutana na vitu tofaut Kwa wenzi wapya hasa ukosefu wa furaha ......
UnajidanganyaNi kweli mwanaume hana cha kupoteza
Kauli za kujifariji mkuu..Ni kweli mwanaume hana cha kupoteza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pole broo, utapoa na yatakwisha tuuu.
Uchungu huwa hapa zaidi 😂 imagine umeachwa ghafla hauna spare tyre. Uchungu lazma uwe mkali.Kuachwa ni kubaya kama huna replacement.
Kwanza huwezi jua kama umeachwa mpaka upate sms au usikie ana mpenzi, ila ukiwa wale wa moyo wangu ni wako ufanye utakavyo ndo utaishia kuimba nyimbo za mapenzi kwa hisia kama mleta mada wetu hapa.Uchungu huwa hapa zaidi 😂 imagine umeachwa ghafla hauna spare tyre. Uchungu lazma uwe mkali.
Ila ukiwa ume diversify mapenzi aah unakuwa freshi tu tena with full balance. Huwezi kumlilia manzi kama una choice nyengine