A Abdallah M. Nassor JF-Expert Member Joined Mar 20, 2008 Posts 600 Reaction score 620 Apr 16, 2017 #21 SPLENDOUR said: Nina mpenz wangu tnapendana sana lakin kanizidi umri mmoja Sasa wanadai ni vbaya msichana kumzid mvulana so nlikua naomba ushaur jaman Click to expand... We gegeda tu. Mwaka mmoja kitu gani wakati kuna watu wameoa majimama umri sawa na mama zao
SPLENDOUR said: Nina mpenz wangu tnapendana sana lakin kanizidi umri mmoja Sasa wanadai ni vbaya msichana kumzid mvulana so nlikua naomba ushaur jaman Click to expand... We gegeda tu. Mwaka mmoja kitu gani wakati kuna watu wameoa majimama umri sawa na mama zao
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,099 Reaction score 7,466 Apr 16, 2017 #22 Kama bwawa halipwelepweti dushe wewe songa mbele tu kama JP usisikilize abiria au watu
saab113-360 Member Joined Mar 1, 2017 Posts 71 Reaction score 95 Apr 16, 2017 #23 Umri sio tatizo kama mtaishi kwa amani upendo na kuheshimiana tofaut ya mwaka mmoja ni ndogo sana haina madhara cha. Msingi ni kukomaa kutafuta chapaaa
Umri sio tatizo kama mtaishi kwa amani upendo na kuheshimiana tofaut ya mwaka mmoja ni ndogo sana haina madhara cha. Msingi ni kukomaa kutafuta chapaaa