Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
We gegeda tu. Mwaka mmoja kitu gani wakati kuna watu wameoa majimama umri sawa na mama zaoNina mpenz wangu tnapendana sana lakin kanizidi umri mmoja Sasa wanadai ni vbaya msichana kumzid mvulana so nlikua naomba ushaur jaman