Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je nini kilikufanya ukawa kwenye mahusiano uliyopo?Je ni ngono?Je ni kwa sababu umezaliwa ukakuta kuna mahusiano?Je ni kufuata mkumbo?Je ulilazimishwa?Je ulijaribu kujua ladha yake?Tafakari!Itasaidia kuboresha mahusiano uliyonayo!
Sio kwamba nimeuliza kwa niaba yangu,nimeuliza kwa kila mmoja ili itusaidie kujikagua kama tuna sababu za msingi kuingia kwenye mahusiano na sio sababu za ajabu ajabu!