Mahusiano

Mahusiano

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
usi mind pindi manzi wako asipo kutafuta siku nzima 😀mtafute wewe kwasababu ndo unaeumia ✅✅
 
Sasa ile hela ya vocha niliyotuma? Mwache na yeye anitumie vocha ndio nimpigie 😂
 
0596e215-5acf-47b9-ba93-9b4f976ff941.jpg
 
Huo utoto kuanza kuangalia nan amtafute mwenzie we mtafute tu hata usihesabu..
Kuna watu wamekulia mazingira sio rafiki ndivyo walivyo sio kwamba hakupendi au ana chepuka yan ndivyo walivyo...
 
Back
Top Bottom