lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 276 Reaction score 574 Jan 30, 2024 #1 Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! ๐๐ฎ
Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! ๐๐ฎ
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 182,097 Reaction score 1,099,383 Jan 30, 2024 #2 Bado unakung'utwa na mapenzi mkuu mpaka kulimwaga chozi hadharani? Pole sana!