MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #21
ha ha ha hapo kwenye nyekundu usiwe na shaka!! hapo kwenye blue yaani baada ya kujengewa nyumba na kununuliwa gari ndo anajisikia vibaya dah kweli mabinti wa siku izi!
[/COLOR]
yewooomiii, mr wangu nimecheka mpaka ofcn imetetemeka, haaa.
ha ha ha hapo kwenye nyekundu usiwe na shaka!! hapo kwenye blue yaani baada ya kujengewa nyumba na kununuliwa gari ndo anajisikia vibaya dah kweli mabinti wa siku izi!
Dada wee laiti ungeingia kwenye hiyo link ndo ungejua kinachotembea kwenye vichwa vya wengine.
Yeye mwenyewe anadai anamheshimu sana bi mkubwa na akiwa na huyu mbaba anahakikisha kuwa halali kwake kwani ikifika saa mbili tu usiku anamfukuza akalale kwa mkewe.
...😀 eti uchafu!
Kwenye mapenzi kuna uchafu jamani?
Acha tu yetu macho!!hahaha mkuu Kimeya nakwambia siku hizi hakuna kitu!
huyo aliyelileta, nadhani ameshapata alichokitaka, baas..
actually, ukichunguza, hiyo fukuza fukuza ya saa mbili usiku, ni kwamba from saa tatu anaingi 'baba mwenye nyumba' mwingine.ambaye ndiye aliyetunukiwa pendo la kweli na hiyo nyumba ndogo
hakuna mwanamke atamfukuza mwanaume saaa mbili eti kwa kumwonea huruma bi mkubwa. Ni kwamba anatengeneza tu mazingira waachane. alichokitaka, ameshakipata
hebu mabinamu wa hapa, inawezekana uko na mwanaume unaympenda hata kama ana mke usingemconvince alale kwako na wewe ukapata the morning glory?
kengele ya tahadhari inalia kuwa huyo yuko kikazi zaidi.
nimeshindwa kujizuia wewe twin
nimecheka utadhani mazuri. sasa ukimchukia kwani itampunguzia nini twin? ila kweli hapo kwenye kumsemelezea ningekusindikiza
afu mbona hupokei cm ntanuna mimi
Mimi ni binti wa miaka kadhaa, nina mtoto mmoja lakini nimezaa na mume wa mtu.
- Umepata sasa unataka kutimka: Malipo hapa hapa DUNIANI!natamani kuachana nae,
w.t.fmimi na mheshimu sana mkewe. amekuwa akifanya vitu kwangu na kwa mkewe kwa usawa.
- Kwako - kwenu (nyumba umejenga wewe?)ninacho mkataza ni kulala kwangu. na kukaa kwangu zaidi ya saa 2 usiku. huwa namwambia awahi nyumbani kufanya home work na watoto.
- Unamwita "huyu mtu" nadhani umeshaachana naye tayari : kumbuka kama hamjaathirika basi wewe hautamwathiri tena - better leave the man alone aendelea na maisha yake!kinachonitatiza ni kuwa nataka niachane nae huyu mtu. Roho inaniuma naona kama nitakuwa simtendei haki. Najua nitamwathiri sana.
ndio kwanza akifanikisha hilo zoezi wengine wanacal kabisa kudhibitisha yupo na mumeo, yalikuwa yanamtokea sana sis wangu haya....well said mr, hapo bandika bandua tu...maradhi hayatoisha kamwe.
Ha ha ha mamie watu wapo kibiashara zaidi dah......kama sikosea atakua keshapata kiserengeti hapa anataka kula nacho maisha kwenye nyumba ya mzee!!aseme alichokitafuta kakipata basi
angeomba ushauri wakati ule mume wa mtu anamtongoza (if at all alitongozwa maana kuna uwezekana yeye ndo alimtokea mtu mzima na mavumba yake.....)
Aksante AK
Wapo waliotoa ushauri kama wako na wapo waliomweleza vingine.
Kuna alosema kuwa anataka nini tena wakati kila kitu anapata? Tena amemuonya kuwa asijaribu kumwacha huyo mbaba na kuolewa na mwingine kwani maisha ya ndoa ni balaa ni bora abakie small house tu.
Na kuna mbaba kachangia kule katoa live kuwa ana nyumba ndogo yenye watoto 2 wakati mkewe halali anao 3.
Afadhali maana nilishajua kibarua kimeota mbawa.
Kimey my dia huyu dada katika kubanwa sana amedai kuwa anataka kurudisha kila kitu kwani uwezo wa kujitunza anao kwa kuwa ana kazi nzuri na nyumba yake anayo aliyojenga kwa pesa zake!!
Kusema ukweli mimi nimeshindwa kumuelewa. Pengine kweli wokovu umemtembelea.
Sasa debate inayoendelea ni either aendelee naye (yaani asimwache huyo mume) na wengine wanamshauri aendelee.
Hebu ingieni mkasome na nyinyi acheni uvivu ahg!
ha ha ha umenichekesha sana....hizi ndo mbinu wanazopenda kutumi si anajua Jamaa hawezi kumdai wala vizibiti hana!! gari nyumba vyote majina yake!!kuchuna huku na kupeleka kwenye ujenzi nako ni uwezo...hana lolote bwana yeye akubali rafu tu, na mtoto pia atamrudishia babake na yeye alirudishiwe ubinti wake?
kuchuna huku na kupeleka kwenye ujenzi nako ni uwezo...hana lolote bwana yeye akubali rafu tu, na mtoto pia atamrudishia babake na yeye alirudishiwe ubinti wake?
Ha ha ha mamie watu wapo kibiashara zaidi dah......kama sikosea atakua keshapata kiserengeti hapa anataka kula nacho maisha kwenye nyumba ya mzee!!
kuchuna huku na kupeleka kwenye ujenzi nako ni uwezo...hana lolote bwana yeye akubali rafu tu, na mtoto pia atamrudishia babake na yeye alirudishiwe ubinti wake?