MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #21
ha ha ha hapo kwenye nyekundu usiwe na shaka!! hapo kwenye blue yaani baada ya kujengewa nyumba na kununuliwa gari ndo anajisikia vibaya dah kweli mabinti wa siku izi!
Afadhali maana nilishajua kibarua kimeota mbawa.
Kimey my dia huyu dada katika kubanwa sana amedai kuwa anataka kurudisha kila kitu kwani uwezo wa kujitunza anao kwa kuwa ana kazi nzuri na nyumba yake anayo aliyojenga kwa pesa zake!!
Kusema ukweli mimi nimeshindwa kumuelewa. Pengine kweli wokovu umemtembelea.