Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi.
Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu.
Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya madharayamatukio hayo na sasa maigizo yameshaanza kuonekana kuleta matokeo yanayowapa haueni wahaini walioko madarakani
Maandamano ya Wakatoliki wa kuchovya na tukio la kukamatwa Tshs Bilion 6 nyumbani kwa mchina ni sehemu ya mikakati hiyo.
Watanzania tusitoke nje ya focus yetu ya kuukataa huu utawala dhalimu.