Maigizo: Bilion 6 kwa Mchina, maandamano Wakatoliki feki

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi.

Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu.

Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya madharayamatukio hayo na sasa maigizo yameshaanza kuonekana kuleta matokeo yanayowapa haueni wahaini walioko madarakani

Maandamano ya Wakatoliki wa kuchovya na tukio la kukamatwa Tshs Bilion 6 nyumbani kwa mchina ni sehemu ya mikakati hiyo.

Watanzania tusitoke nje ya focus yetu ya kuukataa huu utawala dhalimu.
 
Huyu anayepanga hizi njama hiki tengo kimemshinda jamani πŸ˜‚πŸ˜‚ nashindwa hata kumtetea.

Jamani chama tawala tafuteni watu wenye akili timamu wanaoweza kucheza hii CHESS.

Wabongo wamekomaa πŸ˜‚πŸ˜‚ ililetwa ya udini sijui makafiri na watu gani asee GEN Z walivyoipangua hawajaamini
 

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…