Ana haki ya kudondoka
Akiangalua Mapato ya hilo eneo na kodi zinazokusanywa akilinganisha na hizo alizopewa zinapita mara mamilioni ya pesa wanazokusanya hapo
Anyone wazi wamependelewa mno na ukichanganya kama altonja kapombe kakali kidogo ka mchana lazima adondoke
Hayo macho na huo mkao ni kama kakonyagi kalishatua mwilini