Denicedion
Member
- Jan 11, 2015
- 33
- 6
Naamin kua kila m2 hupenda sana kufatilia na kutazama maigizo yanayorushwa kuptia v2o mbal mbal vya runinga,ss kuna katabia ka1 hua naona ni bora waachane nako yan utakuta lbd igizo linarushwa na itv mfano labd yule au wale waigzaj et anaangalia tv lazma channel anayoangalia iwe ni itv wkt mwngn unakuta ni vpnd vya wtt bc jamaa yupo anaangalia 2,kwan hawez tazama channels zngne..
Ushaur:waache kukalil
Ushaur:waache kukalil