Maigizo yanaendelea Taifa muda huu kati ya Ruvu dhidi ya Simba

Maigizo yanaendelea Taifa muda huu kati ya Ruvu dhidi ya Simba

Isolated

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
212
Reaction score
363
Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. Mechi ya simba na ruvushooting huwaga ni maigizo matupu.. We Uliona wap boko anafunga 😂😂
Yaani wachezaji wa ruvu ni kama wamefungwa Mawe mguuni

Haya kila la kheri Mtaani katika igizo lenu mda huu taifa
 
Chama amerudi na moto umerudi. Utopolo wamepoteza network
 
Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. We Uliona wap boko anafunga
Sasa wewe ndio miongoni mwa mashabiki ambao huwa wanazimia viwanjani kwa sababu ya kuingia na matokeo. Yaani unaanzisha uzi kabisa kwa ajili ya kushangaa eti kwa nini Bocco anafunga magoli? Utapoteza maisha yako kwa pressure za kujitakia, familia yako itabaki na mateso na majonzi bure, labda kama hautegemewi 😀
 
Pira bahasha
1668877340437.jpg
 
Hizi timu hazina uwezo wa kushindana na Simba na Yanga. Niliwashangaa Simba waliposema Yanga wamenunua mechi ya Singida. Timu mbovu kama Ruvu uishindanishe na Simba?
 
Usijitingishe sindano itavunjikia kwenye nyama za tackle.
 
Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. Mechi ya simba na ruvushooting huwaga ni maigizo matupu.. We Uliona wap boko anafunga 😂😂
Yaani wachezaji wa ruvu ni kama wamefungwa Mawe mguuni

Haya kila la kheri Mtaani katika igizo lenu mda huu taifa
Ila hata mimi nimeshangazwa eti na Boco kufunga hat trick! 🤔

Yaani Boco huyu huyu aliyekuwa akitukanwa humu jukwaani na hao mashabiki maandazi!!
 
Huyu Mkwasa nashindwa kujua kwann huwa anashindwa kujifunza siku zote jinsi ya kucheza na Simba. Huwa anafunguka kirahisi sana
 
Huyu Mkwasa nashindwa kujua kwann huwa anashindwa kujifunza siku zote jinsi ya kucheza na Simba. Huwa anafunguka kirahisi sana
Wewe unaijua soka asante. Unamjeshimuje mpinzani kama alivyosema Mkwasa halafu unapanga 3-5-1-1? Ni Sawa na Mtu mwenye kitambi Kikubwa na miguu fito!
 
Maigizo haya ni kama yale ya wiki iliyopita utopolo walipocheza na walima alizeti..
 
Ulitaka darling wako mayele ndio awe mfungaji pekee ligi kuu?
 
Back
Top Bottom