Maigizo yanaendelea Taifa muda huu kati ya Ruvu dhidi ya Simba

Maigizo yanaendelea Taifa muda huu kati ya Ruvu dhidi ya Simba

Wamenuna kisa mayele kalipwa hako ka hattrick kake ka maelekezo kwa sku moja tu
 
Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. Mechi ya simba na ruvushooting huwaga ni maigizo matupu.. We Uliona wap boko anafunga [emoji23][emoji23]
Yaani wachezaji wa ruvu ni kama wamefungwa Mawe mguuni

Haya kila la kheri Mtaani katika igizo lenu mda huu taifa
Kwan Boko ni mama yako mpka umshangae kufunga?
 
Back
Top Bottom