Maimartha asema atarusha instalive siku ya kujifungua

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram. Tofauti na alivyozoeleka kuwa ni mtu wa ‘viwanja’, siku hizi Mai haonekani tena akijichanganya kama zamani na badala yake amkuwa mtulivu nyumbani. “Ni kweli, nina ujauzito na unanisumbua sana ndiyo maana sionekani siku hizi, siwezi kusema una umri gani ila ninapenda kujifi cha hivi hadi nitakapojifungua na ninapenda siku hiyo nikiwa ninajifungua, niwe live kwenye Instagram,” alisema Mai ambaye mtangazaji wa AzamTV
 
Arushe tuone.....
 
Akili za watanzania ukweli Mungu atusaidie hivi kuna lamaana hapo lakuandika habari za mtu,akili zetu zitabaki hivyo huo no upuuzi
 
Huyu hajui uchungu ni nini? Siku vikichanganya hata insta inakua chungu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwambie akumbuke kunyoa vuzi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…