Maimartha asema atarusha instalive siku ya kujifungua

Maimartha asema atarusha instalive siku ya kujifungua

Wanawake wengine acheni ulimbukeni wa teknolojia..mabalaa mengine mnajitakiaga wenyewe, hata kama tupo kidijitali, maadili yazingatiwe

Mnajidhalilisha wenyewe kisa tu ufahari na kutaka sifa zisizo na maana
Chakujiuliza nani anataka kuona akijifungua na mavitu yale yaani wasichana wengine wanakera kwa Kiki za ajabu
 
Sitaangalia mana kwa fujo zake alizokuwa nazo ananiondolea apetite ya papuchi buuuree[emoji6]
 
Anatafuta kiki baada ya kusahaulika
Sasa mwambieni ni iv k inayozaa live INA sura mbaya mbaya mno asitegemee kuliwa tena maisha yake yote coz wanaume watamuogopa, Halafu aache ushamba
 
Mkumbusheni kua Dunia ya tatu (3) uzazi ni mtihani ni jambo la kawaida kutokea kifo iwe mzazi au mtoto wenzake wanapata guts za kurusha live uko Dunia ya kwanza wakijua watatoka salama tu,nimtakie azae salama.
 
nadhani bado hajaujua uchungu wa ile shughuli..... ngoja siku zifike tuone kama atakumbuka hiyo smartphone
 
Back
Top Bottom