Nimeshindwa nicheke au nilie, ila hata huyo mmewe akiona huo uchi unavyotanuka hatatamani tenakaamua kuonyesha uchi wake watu waone?aibu hii
Chakujiuliza nani anataka kuona akijifungua na mavitu yale yaani wasichana wengine wanakera kwa Kiki za ajabuWanawake wengine acheni ulimbukeni wa teknolojia..mabalaa mengine mnajitakiaga wenyewe, hata kama tupo kidijitali, maadili yazingatiwe
Mnajidhalilisha wenyewe kisa tu ufahari na kutaka sifa zisizo na maana
kabisa aisee ulimbukeni umewajaaChakujiuliza nani anataka kuona akijifungua na mavitu yale yaani wasichana wengine wanakera kwa Kiki za ajabu
Duniani huyu ni wa pili, aliowatanguliza je?Ana mtoto mmoja mkubwa tu,huyu wa sasa atakua wa pili
nop unakosea alisemaga kazaliwa 1988,kwahyo nikigor haswaaa mwakani anafikisha 30,kwa raha zake hahaahah...Zilipendwaa
Hell nonop unakosea alisemaga kazaliwa 1988,kwahyo nikigor haswaaa mwakani anafikisha 30,kwa raha zake hahaahah...
Uone nini ?,akati ww ni KEHaya nasubiria
Zinatofautiana mkuuUone nini ?,akati ww ni KE
Nakupenda piaHahahahahaha! Nimekupenda bure
Umeua dadaMtu mzima kisheti, Muhenga anayegoma kukubaliana na hali yake huu ulikuwa wakati wake wakulea wajukuu sio kuzaa yeye, atulie tu ashakuwa zilipendwa tena ya matonya.