Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
BVmzV2Ol9AN.jpg

Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika

Screenshot_2017-10-21-15-55-31.png

Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
 
Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.

Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.

Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
 
Sura yake na huo umri ni vitu vinavyokinzana kama Kim na Trump!
 
Kuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!

Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
😀😀😀😀😀😀
 
Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.

Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.

Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
Ni kick kweli
 
Back
Top Bottom