Mrembo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 415
- 219
Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa Twanga apo mwanzoni mwa 2007. mpaka leo amekataa kuzirudisha izo pesa. Sakata hilo lilifika Police Oysterbay lakini yeye Puff akakataa kabisa kukubali kuwa hizo pesa alipewa. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa Maimartha na Bwana Yake wamekuwa awkionyesha dharau kubwa sana kwa shangazi huyo kwa kukataa kumsalimia kabisa.
Habari ndio hiyo
Habari ndio hiyo