Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa Twanga apo mwanzoni mwa 2007. mpaka leo amekataa kuzirudisha izo pesa. Sakata hilo lilifika Police Oysterbay lakini yeye Puff akakataa kabisa kukubali kuwa hizo pesa alipewa. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa Maimartha na Bwana Yake wamekuwa awkionyesha dharau kubwa sana kwa shangazi huyo kwa kukataa kumsalimia kabisa.
Habari ndio hiyo
Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa Twanga apo mwanzoni mwa 2007. mpaka leo amekataa kuzirudisha izo pesa. Sakata hilo lilifika Police Oysterbay lakini yeye Puff akakataa kabisa kukubali kuwa hizo pesa alipewa. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa Maimartha na Bwana Yake wamekuwa awkionyesha dharau kubwa sana kwa shangazi huyo kwa kukataa kumsalimia kabisa.
Habari ndio hiyo
Huu ni umbea si habari ya kuleta humu. Tena wewe unaonekanao umeji register member OCtober hii tu. Please, hizo ni kesi za madai zipelekwe polisi.
Hii nayo ni ishu macro wale ni watu maarufu hapa Bongo kwa nini wasimulikwe kama wamemtapeli Shangazi yao?Hapa tunazungumzia issues macro kwa ajili ya jamii nzima ya Watanzania na dunia nzima.
Mbona unajihami au ndo weye Maimatha?Simfahamu Maimamartha in any case bali nataka Jf iwe ni jukwaa la kijamii la kuongelea issue muhimu na si sehemu ya Udaku na umbea.
Unampangia wewe?Kwani wewe ni nani mpaka ukampangia habari kwa kupeleka?Unaona yeye kama kakosea kuleta habari hapa?Pia ukitaka peleka Global publishers watoe magaezeti ya udaku. Thanks.
hujalazimishwa kusoma. we kama unaona udaku usisome wala usicomment
THANKS FOR UNDERSTANDING
hujalazimishwa kusoma. we kama unaona udaku usisome wala usicomment
THANKS FOR UNDERSTANDING
Utamu ipo hewani peleka kule.....dada your very low....udaku udaku period!, source ya habari hii ni utata mtupu...sasa kama kachukua hela za shangazi yake JF ifanye nini? Tujadili ama?
Je hii iko kwenye JF rules ? kwamba habari za aina hii zisiletwe humu? Kuna habari moja ilihusu mheshimiwa waziri na kimada wake wa precision kama sikosei je ule haukuwa udaku? au ni uonevu tu.
Besides kama umemwona ni member mpya muelimishe vizuri na si kumshambulia kihivyo
JF we are One BIG family peace 2 all
if i am not mistaken, in this forum we are supposed issues related to celebrities, sasa kama you discuss about JK and others how they misuse funds and staff like that, what is the difference with this issue????
hasa unaposema JF imfanye nini, Kwani JK na Mafisadi wengine, mmewafanya nini au Mnawafanya nini?
Mi naona we kaka una lako jambo au uelewa wako ni mdogo sana.
mi nafikiri hii forum ipo kwa ajili ya kurekebisha jamii and I think the said persons are part of the Jamii, sasa tukianza kuchose who to discuss and who not to then sijui!!!!Dada MREMBO una bifu na Maimatha ama Puff dady? Mtafute huko aliko umwambie...huu ni umbeya kwenda mbele....JK ni kiongozi wetu, hata hao mafisadi wengine wanasquander uchumi wa nchi....Kumlinganisha Maimatha na JK inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.....anyway endelea na visa na viroja vyako
Ushi
Kusoma ni muhimu. We are critical here na si udaku wala umbea. Wanawake siku hizi achana na umbea jenga nchi na familia. Please, nakushauri pitia thread za hapa jamvini uone wenzako wanavyo post issues za maana. Na kama hazina maana tunazipiga chini as well, same as yours. Unasikia mama eh.
Au umeshagombana na Maimartha sasa unaleta mambo humu ya umbea??? Yamalizeni hukohuko. Maana nyie mnaojiita mara warembo, mara ma star mara vile hamuishi na vituko.
Kinachonifurahisha, nyie wote mnaolumbana si wageni kama mimi, hamna zaidi ya miezi mitano lakini tayari mnajifanya wenyeji.
Are there any rules regarding posting?
Tafadhari sisi wageni tuelimishwe.
mi nafikiri hii forum ipo kwa ajili ya kurekebisha jamii and I think the said persons are part of the Jamii, sasa tukianza kuchose who to discuss and who not to then sijui!!!!
anyway, i think you have a right to express your opinion like the way I do.
i dont have time for this argument na wala sitajibizana nawewe tena.
all the best.
Naomba nifafanulie swala la ushahidi.Kwa kusaidia na wengine pia!
SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS
Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:
1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.
2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.
3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.
4. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.
5. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.
6. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.
7. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.
Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.
Better wash your thinking. Hapa ni discussions na sio mabifu ya kibinafsi binafsi. Kama polisi waliona hamna ishu wewe unataka kutufanya tuamini kuwa hiyo familia ni ya matapeli na manjagu walikosea? then What next. Wala siwaoni kama macelebrities kama unavyoona wewe. Hata usipoweza kutupa proof ya hayo, pia utashindwa kuaopologize kwa kukurupuka kwenye jamvi na mabifu yenu?
Tupo ukurasa mmoja Mazee, dada aonyeshe ustaarabu kwa kuapologize basi tuendelee na mijadala mingine endelevu....tusipokuwa makini JF itakuwa kijiwe cha udaku...hawa akina Mrembo et al...