Maimatha Jesse afunga ndoa ya siri

Kwani MAI ni mwanamke wa kuoa au wakujistarehesha nae kwenye nyumba za wageni
 
siku izi simskii skii sana, kapotelea wapi? au ni majukumu ya kifamilia?
 
si jamaa yake kafa mda c mrefu? well ni uhuru wake ku move on na maisha yake but wasnt that too short tio move on au ndo tuseme alikua na courage kubwa ya ku move on?
kafunga ndoa na jamaa flani hv ni askari wa upelelezi wa kituo cha kati..ila jamaa kaoa na ana mke...hawa dada zetu hawa hadi inashangaza..
 
Hongera zake, Mungu amtangulie.
 
kafunga ndoa na jamaa flani hv ni askari wa upelelezi wa kituo cha kati..ila jamaa kaoa na ana mke...hawa dada zetu hawa hadi inashangaza..

Mmmh sasa kaolewa ukewenza, na dini gani au kwa commissioner?
 
si jamaa yake kafa mda c mrefu? well ni uhuru wake ku move on na maisha yake but wasnt that too short tio move on au ndo tuseme alikua na courage kubwa ya ku move on?

Jamani c kwamba alipofariki PDidy walikuwa weshatengana?! Nway ni kweli amefunga ndoa (arusi) ya siri ingawaje sherehe zao zile za kibao kata nadhani na sendoff macelebs walikuwepo.

Nawatakia maisha mema na ajaaliwe furaha ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…