Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,045
- 358
Kwani MAI ni mwanamke wa kuoa au wakujistarehesha nae kwenye nyumba za wageni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kafunga ndoa na jamaa flani hv ni askari wa upelelezi wa kituo cha kati..ila jamaa kaoa na ana mke...hawa dada zetu hawa hadi inashangaza..si jamaa yake kafa mda c mrefu? well ni uhuru wake ku move on na maisha yake but wasnt that too short tio move on au ndo tuseme alikua na courage kubwa ya ku move on?
kafunga ndoa na jamaa flani hv ni askari wa upelelezi wa kituo cha kati..ila jamaa kaoa na ana mke...hawa dada zetu hawa hadi inashangaza..
si jamaa yake kafa mda c mrefu? well ni uhuru wake ku move on na maisha yake but wasnt that too short tio move on au ndo tuseme alikua na courage kubwa ya ku move on?
Oh pole ndo ishakuwa!Loh.. Naomba isiwe kweli kwa shem wangu...