Inevitable
Senior Member
- Apr 27, 2012
- 111
- 277
Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka.
Kinachoshangaza kidogo, hakukuwa na watu wa media maana imefanyika closed chamber.