Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa akili zako zipo matakoni,sasa issue ya Maimu inahusiana nini na issue ya Jambazi Sabaya??eti Mzalendo Sabaya daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yupo Jela ya Karanga pale Moshi nenda kamuone,na DPP kakata Rufaa Kesi ya Arusha ile,kaa kwa kutuliaHatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.
Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
SAFI SANA WACHA WAKALE PESA ZAO WALIZOZIPIGA na KAZINI WARUDISHWEDickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka.
Kinachoshangaza kidogo, hakukuwa na watu wa media maana imefanyika closed chamber.
Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka.
Kinachoshangaza kidogo, hakukuwa na watu wa media maana imefanyika closed chamber.
Ccm ni mafiiDickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka.
Kinachoshangaza kidogo, hakukuwa na watu wa media maana imefanyika closed chamber.
Basi kwa namna ya pekee kabisa! Nichukie nafasi hii kuwakaribisha rasmi uraiani, kuja kulamba asali.Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka.
Kinachoshangaza kidogo, hakukuwa na watu wa media maana imefanyika closed chamber.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii nchi kula uwezavyo ukifungwa ujue kuna mahali umekosea si kidogo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wilaya ya HAI iwe ya 4sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Nchi ndomana upigaji,uwizi hauwezi isha....bila kumfunga mtu maisha au kmnyonga uwizi utazidi kufanyikaMM
mimi mambo ya nchi hii yananichosha sana na kwa nn wanawapeleka mahakamani kama hawana ushahidi kutosha?wanaanza kwa mbwembwe kuwachafua watu na wanaishia kwenye vibaraza vya siri.rushwa katika nchi hizi za kiafrika hazitaisha hata siku natamani tupate dikteta mwingine tena.
Nchi imerudi kwa walaji usijifanye hujui.Kumbe alionewa sana huyu jamaa na hakuwa na kosa lolote kabisa? Na hana kosa lolote kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa hiyo asioze?kumtetea humu hakuzuii yeye kuozaTaahi.ra wewe na mijizi, mwisho.ga na vibaraka wenzako wote, JPM hatokaa awatoke vichwani mwenu daima kwa kuwa mtaishi milele.
Nchi hii imejaa vijana wa hovyo sana!! Lissu, Chadema, ndege, bwawa la umeme, elimu bure na mengine mengi uliyosema - hayahusiani na mada ambayo ni Maimu kuachiwa huru. Nilidhani ungekuwa mwerevu na kusema labda ameachiwa kimakosa na hivo DPP apinge kwa rufaa (kama ilikuwa ni uamuzi wa Jaji/Hakimu) au kushauri DPP afungue mashtaka mapya (kama kulikuwa na technical deficiencies kwenye kesi na wakasema hawana nia ya kuendelea na kesi).Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.
Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.