Maimu wa NIDA na wenzake wafutiwa kesi zote

Karibu tena magetini meusi.....maliza muda wako upumzike
 
Karibu uraiani Maimu, uendeleze baa na lounge yetu ya MRC mikocheni,
Kayombo karibu five way bar mikocheni tukutoe vumbi la gerazeni keko,
Haki haipotei,
 
Wewe jamaa akili zako zipo matakoni,sasa issue ya Maimu inahusiana nini na issue ya Jambazi Sabaya??eti Mzalendo Sabaya daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yupo Jela ya Karanga pale Moshi nenda kamuone,na DPP kakata Rufaa Kesi ya Arusha ile,kaa kwa kutulia
 
SAFI SANA WACHA WAKALE PESA ZAO WALIZOZIPIGA na KAZINI WARUDISHWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Naona soon tutamuona tena kwenye hotel yake ya mrc mikocheni

Ova
 
MM

mimi mambo ya nchi hii yananichosha sana na kwa nn wanawapeleka mahakamani kama hawana ushahidi kutosha?wanaanza kwa mbwembwe kuwachafua watu na wanaishia kwenye vibaraza vya siri.rushwa katika nchi hizi za kiafrika hazitaisha hata siku natamani tupate dikteta mwingine tena.
 
Ccm ni mafii
 
Basi kwa namna ya pekee kabisa! Nichukie nafasi hii kuwakaribisha rasmi uraiani, kuja kulamba asali.
 
sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wilaya ya HAI iwe ya 4
 
Nchi ndomana upigaji,uwizi hauwezi isha....bila kumfunga mtu maisha au kmnyonga uwizi utazidi kufanyika

Ova
 
Hivi kweli kabisaaa, kweli kabisaa jamani kuna kiongozi kama magu?!
Acheni ukweli usemwe jamani,
Msema kweli ni mpenzi mungu
 
Kumbe alionewa sana huyu jamaa na hakuwa na kosa lolote kabisa? Na hana kosa lolote kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi imerudi kwa walaji usijifanye hujui.
 
Nchi hii imejaa vijana wa hovyo sana!! Lissu, Chadema, ndege, bwawa la umeme, elimu bure na mengine mengi uliyosema - hayahusiani na mada ambayo ni Maimu kuachiwa huru. Nilidhani ungekuwa mwerevu na kusema labda ameachiwa kimakosa na hivo DPP apinge kwa rufaa (kama ilikuwa ni uamuzi wa Jaji/Hakimu) au kushauri DPP afungue mashtaka mapya (kama kulikuwa na technical deficiencies kwenye kesi na wakasema hawana nia ya kuendelea na kesi).

Chuki zako kwa Chadema/upinzani na/au upendo wako kwa Sabaya unaelekeza mada yako kwa swala la Maimu!
"A place for everything and everything in its place" - Benjamin Franklin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…