Mainjinia hawana stress

Mkuu....
Jana ulitoka bar saa ngapi..??
Maana nikama bado unamning'inio...teh😜
 
Joni ntumie korosho basi ndugu yangu 😊
 
Shurba wanazokutana nazo site zimewapa uzoefu kukabiliana na aina yoyote ya shurba.
Your browser is not able to display this video.
 
Mwanetu unalewa Alhamisi unafanya kazi wapi?
Au ndio ulikabidhi lindo sasa umerudi kitaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…