Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mwambie ukweli, kama hana 50M hamalizi45,50,60 kulingana na finishing utakayoifanya. NB: Mimi si mhandisi.
Sahihi, ila si kuna ule ujenzi wetu uleee... Ila pia inategemea anajenga wapi.Hapo mwambie ukweli, kama hana 50M hamalizi
Raha ya nyumba ni finishing, sio unaamua kujenga halafu unaibania nyumba kwa kutoifanyia finishing nzuri hadi ukifika unahisi upo msikitini.Sahihi, ila si kuna ule ujenzi wetu uleee... Ila pia inategemea anajenga wapi.
Sahihi, by the way umeadimika mkuu. Kwema?Raha ya nyumba ni finishing, sio unaamua kujenga halafu unaibania nyumba kwa kutoifanyia finishing nzuri hadi ukifika unahisi upo msikitini.
Kuhusu mahali pa kujengea, naona gharama hazitofoutiani sana maana vifaa vya ujenzi bei ipo juu kuanzia, Dar na dodoma sasa sijajua kwa mikoani kama kuna unafuu.
Mungu ni mwema, majukumu yametuficha.Sahihi, by the way umeadimika mkuu. Kwema?