Maisha 2070: Una nini cha kuacha kama kumbu kumbu hapa JamiiForums

Hatakama nimeelewa siwezi kubali kirahisi ivo kwa mtu kama weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚2070 sio mchezo
Tutafika tuu kikubwa tu play safe πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Kwa afya tuu
 
Huenda 80% ya members waliopo leo watakuwa wamekufa.

It's obvious kwamba kizazi cha 70s, 80s na 90s kitakuwa kimepukutika na labda 5% tu ndio itakuwa imebaki. Wenye uhakika walau kuwepokwa 50% ni kizazi cha 2000.
 
Zaburi 90:10
Miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara!
Ooooh sawa sawa hapo nimekupata sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…