Maisha 2070: Una nini cha kuacha kama kumbu kumbu hapa JamiiForums

Daaaah wakuu asee sujui kama tutafika hukoo maana daaah
 
Mungu atufanyie wepesi aiseee Fri, August 23-2024. 1:00
 
Naamini bado ccm itakuwa madarakani msanii legend wa muda wote Tanzania atakuwa diamond platnumz
Yanga itachukua kombe la club bigwa Africa.
Tanzania Kutatokea janga kubwa litaloleta athari sana kwenye maisha ya watu na miundombinu.

Hakutakuwa na mabadiliko ya maendeleo makubwa sana ya tofauti na sasa sanasana kutakuwa na maboresho tu ya
miundombinu, km barabara, tren, shule na hospitali.
Mwaka 2070 asilimia 75 hadi 80 ya watanzania watakuwa wamesoma elimu level ya chuo.

AKUMBUKWE
Covid 19
Friday 23/08/2024
 
Hi comment yako watakuja kusoma siku wajukuu zetu mkuu...
Kweli
AKUMBUKWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…