Maisha anayoishi Irene Uwoya ni maisha aliishi Wema Sepetu miaka 10 iliyopita, Majuto ni mjukuu

Time wil tell...
 
Duh 48m kwa mwezi hiyo nyumba itakuwa chini ya maji
 
Mji una mengi huu, anyway kila mtu aishi atakavyo maisha ni mafupi sana haya kama ni wa kusikia atakusikia maana wanasema sikio la kufa halisikii dawa.
 
2

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Cc diadomond
 
Ila hilo lidada ni litamu me mwenyewe nikpata pesa lazima ni mgegede tu aroooh..
Afu watu wanalisingizia eti limeungua hata damu linabadilisha😂😂😂

Eti ili atunze siri yake hataki urafiki wa karibu marafiki wa kike , marafiki zake wa kiume. Maana wa kike hawachelewi kutuletea kadi ya clinic ya arvs😅
 
Ajenge nyumba ya nn kwan uliambiwa duniani tumekuja kukaa? tafuta hela kula bata acha makasiriko mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…