Maisha anayoishi Irene Uwoya ni maisha aliishi Wema Sepetu miaka 10 iliyopita, Majuto ni mjukuu

Mkuu hizi ni nyuzi wanaandika watu hawana pesa...

Jambo la muhimu ni kutafuta pesa na kuishi kama au zaidi ya huyo Uwoya...
 
Akijaomba msaada wa mchango,huyu labda atachangiwa na Countrywide πŸ˜€πŸ˜€(joke)

Ova
 
Hahaha
 
Kuna watu tangia nikiwa mdogo nawaona wanaishi luxury life mpaka sasa wamezeeka.

Mfano Baba Mkubwa wangu he has 80 yrs, born 1945

Since tukiwa wadogo ana spend Sana pesa , bata na ... ...wa huku na kule Ila he never go block

Jana amefanyiwa operation fulani kubwa na nipo nae na namuuguza Mloganzila.

Amewahi kuifadhili yanga ukisia ADAM BAIRU

So the same Irene kuna watu ni good spenders Ila pia ni high servers and high earners don't compete with them
 
True Kuna watu hawajawai ku husler maishani hawajawai kuteseka Maisha yao yote mzee wangu ni mmoja wao.

Watu wengine Wana bahati Sana sio Kama sisi wengine mahangaiko mengi 😊
 
True Kuna watu hawajawai ku husler maishani hawajawai kuteseka Maisha yao yote mzee wangu ni mmoja wao.

Watu wengine Wana bahati Sana sio Kama sisi wengine mahangaiko mengi 😊
Hiyo ipo familia ya mzee wangu watoto wote ni mtelezo Hawajui shida wala hustling yaani ni luckiest family.

Ila nilipata ubuyu (tetesi) kuwa Babu yetu (RIP) alikuwa anasaidia sana WATU kuwasomesha , kuwapa mtaji n.k na alipofariki aliacha pesa nyingi sana Bank akasema hizo Pesa ni za watoto kusoma

So kwa tathimini yangu nimeona this is karma inawarudia.

Maaana pale Arusha ukiwaambia ADAM BAIRU wanamjua hasa wanayanga Aliwahi kuwafadhili.

Ukiachana na hilo Mimi mzee wangu (Father) ni mtu wa bahati na huwa anakuambia bora kifo kuliko shida

Kwa sasa kaingizwa katika Payroll na ndugu yake anampa 3M ya kula kila mwezi flight za Dar to Bukoba , Dubai mwisho wa mwaka kawaida Sana.


Ila sasa sisi Wajukuu 😁
Tunapambana kweli kweli nothing easy japo siwezi kualalamika wala kulaumu I beat the odds but in the hard way
 
Kweli karma is real watu wanao saidia na kutoa Sana misaada na sadaka kwa waitaji huwa wanapata Sana na kufanikiwa kwenye mambo na damu za uzao wao zimebarikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…