screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
[emoji15][emoji15][emoji15]Muacheni atumie pesa za Rais wa Rwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15][emoji15][emoji15]Muacheni atumie pesa za Rais wa Rwanda
HahahaIRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20.
Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi milioni nne (4,000,000) kwa mwezi mmoja.
Maana yake ni kwamba, analipa shilingi milioni ishirini na nne (24,000,000) kwa miezi sita na shilingi milioni arobaini na nane (48,000,000) kwa mwezi.
Hapohapo, mara kadhaa Irene anajisifia kutumia shilingi milioni ishirini (20,000,000) kwa wikendi moja ya siku tatu, akikusanya marafiki ambao wengi ni wanaume kisha kununua vyakula na pombe za bei ghali, halafu wanazimwaga huku wakijirekodi.
Mambo anayoyafanya Irene kwa sasa, yalifanywa na Wema sepetu kipindi cha nyuma na inafahamika hali aliyonayo hivi sasa.
Enzi zake, Wema alikuwa alikuwa akishuka pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar, alikuwa anapokelewa na wapambe wake kama kiongozi mkubwa wan chi.
Wema alikuwa haoni ajabu kumtunza mtu shilingi milioni kumi (10,000,000) kwenye sherehe ilihali akiwa hana hata kibanda achilia mbali duka au nyumba.
Baadhi ya watu wa karibu wanasema kuwa, kipindi kile akiwa kwenye chati alipata watu wa maana wa kumshika mkono ambapo angetumia vizuri zile fursa, basi leo hii angekuwa mbali mno kimaisha na angeweza kutajwa kwenye orodha ya mastaa matajiri zaidi nchini Tanzania.
Watu hao wanasema kuwa, kuna kila sababu wasanii kujifunza na kuelimika, watambue kuna suku za majuto zinakuja
Kwaio hata yule dada anae trend bongo CHIOMA TZWadada wa mjini wanapenda sana kuigiza maisha.
Kuna mada Kati ya kujenga na kununua gari kipi kianzee 🤣🤣🤣Kila mtu ajenge nyumba hizi nyingine atalala nani?
Kuna mada Kati ya kujenga na kununua gari kipi kianzee 🤣🤣🤣
Kwaio hata yule dada anae trend bongo CHIOMA TZ
Kwa hii kauli yako ana igiza Maisha maana huwa anaenda kutunza harusi na machine ya kuhesabia pesaa
Kwanini mkuu wangu umesema ana kichaaaYule ndio ana kichaa kabisa
Kama unataka kuoa anza na gari kisha nyumbaKuna mada Kati ya kujenga na kununua gari kipi kianzee 🤣🤣🤣
True Kuna watu hawajawai ku husler maishani hawajawai kuteseka Maisha yao yote mzee wangu ni mmoja wao.Kuna watu tangia nikiwa mdogo nawaona wanaishi luxury life mpaka sasa wamezeeka.
Mfano Baba Mkubwa wangu he has 80 yrs, born 1945
Since tukiwa wadogo ana spend Sana pesa , bata na ... ...wa huku na kule Ila he never go block
Jana amefanyiwa operation fulani kubwa na nipo nae na namuuguza Mloganzila.
Amewahi kuifadhili yanga ukisia ADAM BAIRU
So the same Irene kuna watu ni good spenders Ila pia ni high servers and high earners don't compete with them
Watakwambia hakuna baba mwenye gari Ila Kuna baba mwenye nyumba.Kama unataka kuoa anza na gari kisha nyumba
Watoto wa kike ungaliia gariWatakwambia hakuna baba mwenye gari Ila Kuna baba mwenye nyumba.
😊
Hiyo ipo familia ya mzee wangu watoto wote ni mtelezo Hawajui shida wala hustling yaani ni luckiest family.True Kuna watu hawajawai ku husler maishani hawajawai kuteseka Maisha yao yote mzee wangu ni mmoja wao.
Watu wengine Wana bahati Sana sio Kama sisi wengine mahangaiko mengi 😊
Tumezeeka..japo Ng'ombe hazeeki maini.Watoto wa kike ungaliia gari
Kweli karma is real watu wanao saidia na kutoa Sana misaada na sadaka kwa waitaji huwa wanapata Sana na kufanikiwa kwenye mambo na damu za uzao wao zimebarikiwa.Hiyo ipo familia ya mzee wangu watoto wote ni mtelezo Hawajui shida wala hustling yaani ni luckiest family.
Ila nilipata ubuyu (tetesi) kuwa Babu yetu (RIP) alikuwa anasaidia sana WATU kuwasomesha , kuwapa mtaji n.k na alipofariki aliacha pesa nyingi sana Bank akasema hizo Pesa ni za watoto kusoma
So kwa tathimini yangu nimeona this is karma inawarudia.
Maaana pale Arusha ukiwaambia ADAM BAIRU wanamjua hasa wanayanga Aliwahi kuwafadhili.
Ukiachana na hilo Mimi mzee wangu (Father) ni mtu wa bahati na huwa anakuambia bora kifo kuliko shida
Kwa sasa kaingizwa katika Payroll na ndugu yake anampa 3M ya kula kila mwezi flight za Dar to Bukoba , Dubai mwisho wa mwaka kawaida Sana.
Ila sasa sisi Wajukuu 😁
Tunapambana kweli kweli nothing easy japo siwezi kualalamika wala kulaumu I beat the odds but in the hard way