Maisha anayoishi Irene Uwoya ni maisha aliishi Wema Sepetu miaka 10 iliyopita, Majuto ni mjukuu

Afu watu wanalisingizia eti limeungua hata damu linabadilisha😂😂😂

Eti ili atunze siri yake hataki urafiki wa karibu marafiki wa kike , marafiki zake wa kiume. Maana wa kike hawachelewi kutuletea kadi ya clinic ya arvs😅
kwani huwajui wabongo kila mtu ni daktari kosa usikonde na kukooa 😂😂 .
 
IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20.

Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi milioni nne (4,000,000) kwa mwezi mmoja.

Maana yake ni kwamba, analipa shilingi milioni ishirini na nne (24,000,000) kwa miezi sita na shilingi milioni arobaini na nane (48,000,000) kwa mwezi.

Hapohapo, mara kadhaa Irene anajisifia kutumia shilingi milioni ishirini (20,000,000) kwa wikendi moja ya siku tatu, akikusanya marafiki ambao wengi ni wanaume kisha kununua vyakula na pombe za bei ghali, halafu wanazimwaga huku wakijirekodi.

Mambo anayoyafanya Irene kwa sasa, yalifanywa na Wema sepetu kipindi cha nyuma na inafahamika hali aliyonayo hivi sasa.

Enzi zake, Wema alikuwa alikuwa akishuka pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar, alikuwa anapokelewa na wapambe wake kama kiongozi mkubwa wan chi.

Wema alikuwa haoni ajabu kumtunza mtu shilingi milioni kumi (10,000,000) kwenye sherehe ilihali akiwa hana hata kibanda achilia mbali duka au nyumba.

Baadhi ya watu wa karibu wanasema kuwa, kipindi kile akiwa kwenye chati alipata watu wa maana wa kumshika mkono ambapo angetumia vizuri zile fursa, basi leo hii angekuwa mbali mno kimaisha na angeweza kutajwa kwenye orodha ya mastaa matajiri zaidi nchini Tanzania.

Watu hao wanasema kuwa, kuna kila sababu wasanii kujifunza na kuelimika, watambue kuna suku za majuto zinakuja
Watu wa daslam wengi wanapenda maisha ya show off.ukiona unasema wametusua maisha kumbe njaa kali mpk kwenye kope za macho
 
Hakuna malaya anashika hela physically, huyo unakuta gari anaendesha hajapewa kadi, nyumba anayokaa ni apartment ya sponsor Ila anamdanganya anamlipia milioni nne, nauli mafuta anajaziwa sheli ya sponsor, unakuta pesa ya matumizi kidogo na kustarehe labda shopping ndio anaweza kupewa Ila Hadi hotel jamaa analipa hapo mnataka ajenge kwa kutumia nini?

BTW Yesu mwenyewe anaishi kwa babake mpaka leo akiwa na miaka 2022.
 
IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20.

Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi milioni nne (4,000,000) kwa mwezi mmoja.

Maana yake ni kwamba, analipa shilingi milioni ishirini na nne (24,000,000) kwa miezi sita na shilingi milioni arobaini na nane (48,000,000) kwa mwezi.

Hapohapo, mara kadhaa Irene anajisifia kutumia shilingi milioni ishirini (20,000,000) kwa wikendi moja ya siku tatu, akikusanya marafiki ambao wengi ni wanaume kisha kununua vyakula na pombe za bei ghali, halafu wanazimwaga huku wakijirekodi.

Mambo anayoyafanya Irene kwa sasa, yalifanywa na Wema sepetu kipindi cha nyuma na inafahamika hali aliyonayo hivi sasa.

Enzi zake, Wema alikuwa alikuwa akishuka pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar, alikuwa anapokelewa na wapambe wake kama kiongozi mkubwa wan chi.

Wema alikuwa haoni ajabu kumtunza mtu shilingi milioni kumi (10,000,000) kwenye sherehe ilihali akiwa hana hata kibanda achilia mbali duka au nyumba.

Baadhi ya watu wa karibu wanasema kuwa, kipindi kile akiwa kwenye chati alipata watu wa maana wa kumshika mkono ambapo angetumia vizuri zile fursa, basi leo hii angekuwa mbali mno kimaisha na angeweza kutajwa kwenye orodha ya mastaa matajiri zaidi nchini Tanzania.

Watu hao wanasema kuwa, kuna kila sababu wasanii kujifunza na kuelimika, watambue kuna suku za majuto zinakuja

Kwanza, Wema hajamfikia Uwoya kwa bata na spending…

Pili, wacha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu..

This is 2022…
 
  • Thanks
Reactions: amu
Acha watambe maisha yakifeuka na kuwachapa wanarudi na sura za kutia huruma wakati huo papuchi imelegea na kutepeta kama utumbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu watu wanalisingizia eti limeungua hata damu linabadilisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Eti ili atunze siri yake hataki urafiki wa karibu marafiki wa kike , marafiki zake wa kiume. Maana wa kike hawachelewi kutuletea kadi ya clinic ya arvs[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo hela hawashikagi mkono sponsor akikuelewa analipa pango yy kwenda kulala tuu na kutoa huduma, sponsor akupe keshi ukajenge never ever
Ndo waanavyofanyaga hivi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza, Wema hajamfikia Uwoya kwa bata na spending…

Pili, wacha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu..

This is 2022…
Unamjua wema unamsikia? Uwoya hata nusu kwa Wema hafikiii, lol
 
Back
Top Bottom