Megfar2001
Member
- Aug 24, 2022
- 68
- 96
Nimesomea bachera ya Industry engineering management
πππNa vingine ndio ujuzi gani ?
NamaanishaUnaposema kazi yeyote unamaanisha kweli au unazingua kjana?
ππMungu akusimamie, penye nia pana njia.
Kila mtu ana riziki yake ambayo Mungu amempangia hapa duniani, utafanikiwa tu kikubwa usikate Tamaa kujaribu.
Jweli aseeπ΄π₯π₯Ni wakati wazazi tuachane na mfumo huu wa elimu
Karibu sana mtaani kijana,Habari zenu wanajamii forum, wakubwa shikamoni
Kwa jina naitwa michael, ninamiaka 24 nimkazi wa Dodoma mjini mtaa wa area c. Nimemaliza chuo kikuu mzumbe mwaka huu 2025, ujuzi nilionao ni: kutumia pc vizuri kuanzia Microsoft office na vingine,
Najua kufanya graphics design vizuri, najua video editing vizuri, najua kuchora ramani za nyumba vizuri, najua kupiga picha na kuedity vizuri, najua lugha ya kingereza kwa kuongea na kuandika vizuri, najua maswala ya usimamizi (management) vizuri pia me ni mtu wa kujifunza vitu vipya kilasiku. kama kuna nafasi yoyote ya kazi iwe ofisini, biashara, kazi ngumu, kusimamia biashara niko tayari kufanya ilimradi iwe kazi halali ya kujipatia kipato hata 5000 kwa siku niko tayari.
Namba ya simu: 0687466095
email@. michaelmlay2001@gmail.com
Asantee kwa kunitia moyo kaka, pamoja sanaKaribu sana mtaani kijana,
Huna mjomba wala shangazi kama sisi kaka zako tuliokutangulia Koo unatakiwa upambane na ustie huruma kabisa Dunia Haina huruma hasa Kwa wewe mtoto wa kiume,
Pambana na Dua nyingi mungu atakufungulia njia,
Tupo uku tuma miaka zaid ya kumi Toka tumetoka hapo ulipotokea wewe Koo ukiona mambo yanakua magumu usivurugwe pambana.
Acha masihara ndugu!! Unacheka nn!!!?Mmmh
Ndio nasikia Leo
Industry engineering management π
Asantee sanaa, ila sijutii kusoma hii kozi it's the best course in Tanzania , iko poa sanaa naifurahia sanaAcha masihara ndugu!! Unacheka nn!!!?
πππ
Vijana wanapochagua course za kusomea inabidi wawe guided!! Sio kila course unarukia tu!! Mwisho akimaliza anapata stress kitaa!!
Pole sana Mlay!!