Maisha baada ya chuo, nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ila uwe halali tu

Maisha baada ya chuo, nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ila uwe halali tu

Habari zenu wanajamii forum, wakubwa shikamoni

Kwa jina naitwa michael, ninamiaka 24 nimkazi wa Dodoma mjini mtaa wa area c. Nimemaliza chuo kikuu mzumbe mwaka huu 2025, ujuzi nilionao ni: kutumia pc vizuri kuanzia Microsoft office na vingine,

Najua kufanya graphics design vizuri, najua video editing vizuri, najua kuchora ramani za nyumba vizuri, najua kupiga picha na kuedity vizuri, najua lugha ya kingereza kwa kuongea na kuandika vizuri, najua maswala ya usimamizi (management) vizuri pia me ni mtu wa kujifunza vitu vipya kilasiku. kama kuna nafasi yoyote ya kazi iwe ofisini, biashara, kazi ngumu, kusimamia biashara niko tayari kufanya ilimradi iwe kazi halali ya kujipatia kipato hata 5000 kwa siku niko tayari.

Namba ya simu: 0687466095
email@. [email protected]
Great
 
Pambana hebu jiajiri au dar wenzio wamejaa kariakoo kuuza vitu na kupiga udalali mtaani nimemuona kijana wa chuo anauza makupo na katengeneza mtaji mkubwa upo
 
Back
Top Bottom